USIHANGAIKE KUTAFUTA MAISHA BALI HANGAIKA KUTAFUTA UFALME WA MUNGU NDO KUNA MAISHA UNAYOYATAFUTA.

Msisumbuke, basi, mkisema, Tule nini? Au Tunywe nini? Au Tuvae nini? Kwa maana hayo yote Mataifa huyatafuta; kwa sababu Baba yenu wa mbinguni anajua ya kuwa mnahitaji hayo yote. Bali utafuteni kwanza ufalme wake, na haki yake; na hayo yote mtazidishiwa. Basi msisumbukie ya kesho; kwa kuwa kesho itajisumbukia yenyewe. Yatosha kwa siku maovu yake. MATHAYO 6:31-33.

KUHUSU UFALME WA MUNGU KWANZA-UMK

Huduma ya UFALME WA MUNGU KWANZA (UMK) Ni mtandao wa kushawishi, kutangaza na kueneza Injili ya Ufalme wa Mungu kwa kila kiumbe (is the Kingdom Influence Network )

Soma Zaidi....

ELIMU YA UFALME WA MBINGUNI

Kiwango cha uhuru wa maisha ya mtu kinategemea na kiwango cha kweli ya Mungu anayoifahamu. Tena mtaifahamu kweli, nayo hiyo kweli itawaweka huru (Yohana 8:32). Karibu ujifunze kweli itakayo kuweka huru.

Soma Zaidi....

BIDHAA ZA UFALME WA MUNGU KWANZA

Huduma ya UFALME WA MUNGU KWANZA (UMK) tunashawishi, kutangaza na kueneza Injili ya Ufalme wa Mungu kwa njia ya bidhaa mbalimbali. Karibu uungane nasi kuhubiri injili ya Ufalme wa Mungu kwa kutumia bidhaa zetu.

Soma Zaidi....