UFALME WA MUNGU NI NINI!!??
- 02
- May

MATHAYO 6:33 Bali utafuteni kwanza UFALME WAKE, na haki yake; na hayo yote mtazidishiwa. Maana ufalme wa Mungu si kula wala kunywa, bali ni haki na amani na furaha katika Roho Mtakatifu. WARUMI 14:17 BWANA Mungu akamtwaa huyo mtu, akamweka katika bustani ya Edeni, ailime na kuitunza. MWANZO 2:15 Ufalme huathiriwa na akili ya mfalme […]
Continue Reading...HAPPY NEW MONTH OF MAY
- 01
- May

💥HAPPY NEW MONTH OF MAY💥 Bwana Yesu asifiwe Wana wa Mungu. HERI YA MWEZI MPYA WA TANO. Ndugu, Tunapoanza mwezi huu wa tano naomba nikushirikishe ujumbe huu muhimu Sana kwako; Tupo katika nyakati za siku za mwisho ambazo Yesu anakaribia kurudi kulichukua Kanisa lake. KANISA NI NINI?? ✓ Kanisa ni Mwili wa Kristo – 1Korintho […]
Continue Reading...
Fikiria wewe umeanzisha kampuni yako Ukiwa na maono ya hiyo kampuni, unawaajiri wafanyakazi wako, halafu ghafla wafanyakazi hao wanatunga katiba itakayowaongoza bila kuzingatia maono ya mwenye kampuni. Kwa kutumia katiba hiyo wanataka wampate kiongozi atakaye waongoza Kwa kutumia sanduku la Kula na Kwa ushawishi wa mgombea nafasi ya uongozi. Halafu hao wafanyakazi wanatarajia kuona maendeleo […]
Continue Reading...
Nikasikia mahali, mama mmoja amemsahau mtoto wake mchanga wa miezi sita kwenye benchi eti anakimbia kuwahi rejesho la mkopo, nikasema huu nao ni ugonjwa wa akili. Tunao wagonjwa wengi sana wa akili tunaishi nao, na haya magonjwa ya akili yanasababishwa na kuibebesha mioyo yetu mizigo mizito inayosababisha msongo wa mawazo (Stress). Nyuso nyingi za watu […]
Continue Reading...
Ukikutana na samaki nchi Kavu Kuna mawili; Awe anatapatapa au amekufa, kwanini? Kwa sababu nchi Kavu siyo mazingira yake aliyoumbiwa kuishi. Ukikutana na Mwanadamu nje ya UWEPO WA MUNGU (Edeni / Ufalme wa Mungu), Either anahangaika na kutapatapa ama amekufa. Ndo maana Yesu alimwambia Yule kijana waache wafu wawazike wafu wao. Tunahangaika kutafuta msaada nje […]
Continue Reading...
NILIMUONA MUNGU ANAWATAZAMA WANADAMU ANACHEKA Nikashangaa sana na kujiuliza Kwa nini??, Wakati ninashangaa na kujiuliza maswali nikasikia sauti ikiniambia; “Kwa sababu tunatengeneza matatizo wenyewe halafu tunataka kutatua hayo matatizo Kwa njia zile zile, mifumo Ile Ile, watu wale wale na Kwa akili zile zile zilizosababisha hayo matatizo.” Zaburi 2:4 Yeye aketiye mbinguni anacheka, Bwana anawafanyia […]
Continue Reading...
Tumekuwa wahanga wa kukimbia huku na kule kutafuta maisha tukidhani ya kwamba tulipoteza maisha, Tunasahau ya kwamba tulipoteza Ufalme wa Mungu ambao ndani yake ndo kuna maisha tunayoyatafuta. Hii ndo maana ya andiko la Mathayo 6:33 “Bali utafuteni kwanza ufalme wake, na haki yake; na hayo yote mtazidishiwa.” Kuna vitu vinahangaisha maisha yetu na tunafikiri […]
Continue Reading...Follow Us
Mafundisho
- UFALME WA MUNGU NI NINI!!??
- HAPPY NEW MONTH OF MAY
- HIKI NDICHO AMBACHO DEMOKRASIA INAFANYA KWENYE NCHI YA MUNGU.
- MJUE SANA MUNGU ILI UWE NA AMANI
- UWEPO WA MUNGU (Edeni / Ufalme wa Mungu),
UMK Forums
Recent Posts
-
-
Kilimo, Ufugaji, Uvuvi, Uchimbaji wa madini na usafirishaji.
Tujadili Kilimo, Ufugaji, Uvuvi, Uchimbaji wa madini na...
By dawson , 1 month ago