Home » Bidhaa zetu

Bidhaa zetu

BIDHAA ZA UFALME WA MUNGU KWANZA

Huduma ya UFALME WA MUNGU KWANZA (UMK) Ni mtandao wa kushawishi,
kutangaza na kueneza Injili ya Ufalme wa Mungu kwa njia ya bidhaa mbalimbali mfano mavazi kama ilivyoandikwa
Marko 16:15 – 16 “Akawaambia, Enendeni ulimwenguni mwote, mkaihubiri Injili kwa kila kiumbe. Aaminiye na kubatizwa ataokoka; asiyeamini, atahukumiwa.”

Huduma ya UFALME WA MUNGU KWANZA (UMK) Ni mtandao wa kueneza Injili ya Ufalme wa Mungu kwa kila kiumbe (is the Kingdom Influence Network)

Hivyo kwa agizo hili Mungu ametupa jukumu la kuhubiri injili ya Ufalme wa Mungu kwa njia mbali mbali hivyo
sisi Huduma ya UFALME WA MUNGU KWANZA (UMK) tunazo bidhaa mbali mbali za kutangaza Injili ya Ufalme wa Mungu, zifuatazo ni baadhi ya bidhaa zetu:-

 - T-SHIRTS za Ufalme wa Mungu Kwanza
 - Books (Vitabu)
 - Biblia
 - Tenzi za rohoni
 - Book cover
 - Smart phone cover
 - Kofia za Ufalme wa Mungu Kwanza
 - Vitambaa vya Ufalme wa Mungu Kwanza
 - Kalam za Ufalme wa Mungu Kwanza
 - Stika za Ufalme wa Mungu Kwanza
 - Teachings
 - Bags za Ufalme wa Mungu Kwanza 
 - Vikombe
 - vifungashio vya Ufalme wa Mungu Kwanza
 - Key holder
 - Miavuli
 - Bottle 
 - Diary & Note book
 - Official Pen
 - Mashuka
 - Mapazia
 - Mito
 - Vitenge
 - Phone cover
 - Mashati
 - Scaff
 - Mifuko
 - School bag
 - Viatu (Shoes)
 - Tracks za kuvaa za watoto
 - Products za watoto
 - Suluali
 - Mouse pad
 - Bebeo za watoto
 - Home furniture; viti, diaba,etc.

Karibu uungane nasi kuhubiri injili ya Ufalme wa Mungu kwa kutumia bidhaa zetu.